Ufafanuzi wa cheua katika Kiswahili

cheua

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    rudisha chakula mdomoni kutoka tumboni; tapika kwa mtoto mchanga baada ya kunyonya maziwa.

  • 2

    tafunatafuna chakula kitokacho tumboni kama wafanyavyo baadhi ya wanyama k.v. ng’ombe, mbuzi au kondoo.

Matamshi

cheua

/t∫ɛwuwa/