Ufafanuzi wa cheuo katika Kiswahili

cheuo

nominoPlural macheuo

  • 1

    utoaji wa chakula kilichokwisha kutafunwa na kumezwa.

  • 2

    chakula kilichorudishwa mdomoni kutoka tumboni mwa mnyama.

Matamshi

cheuo

/t∫ɛwuwɔ/