Ufafanuzi wa chibuku katika Kiswahili

chibuku

nominoPlural chibuku

  • 1

    pombe inayotengenezwa kwa kuchemsha nafaka k.v. kunde, mtama, mahindi, n.k..

Matamshi

chibuku

/t∫ibuku/