Ufafanuzi msingi wa chicha katika Kiswahili

: chicha1chicha2chicha3

chicha1

nominoPlural machicha, Plural chicha

 • 1

  masazo ya nazi iliyokunwa na kukamuliwa.

  taki

Matamshi

chicha

/t∫it∫a/

Ufafanuzi msingi wa chicha katika Kiswahili

: chicha1chicha2chicha3

chicha2

nominoPlural machicha, Plural chicha

 • 1

  uchafu wa ngozi ya uume usiotahiriwa; uchafu wa ndani ya govi.

Matamshi

chicha

/t∫it∫a/

Ufafanuzi msingi wa chicha katika Kiswahili

: chicha1chicha2chicha3

chicha3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  acha baada ya kushindwa jambo.

Matamshi

chicha

/t∫it∫a/