Ufafanuzi wa chichi katika Kiswahili

chichi

nominoPlural chichi

  • 1

    Kibaharia
    upande wa chombo au meli ulioelekea nchi kavu.

  • 2

    upande unaokabili juu.

Matamshi

chichi

/t∫it∫i/