Ufafanuzi wa chichiri katika Kiswahili

chichiri

nominoPlural chichiri

  • 1

    kitu kidogo sana.

  • 2

    hongo, rushwa, kadhongo, mlungula, chai, chauchau, chirimiri, kiinikizo, kilemba

Matamshi

chichiri

/t∫it∫iri/