Ufafanuzi wa chikicha katika Kiswahili

chikicha

kitenzi elekezi

  • 1

    kata kama msumeno kwa kisu butu.

Matamshi

chikicha

/t∫ikitʃa/