Ufafanuzi wa chikichi katika Kiswahili

chikichi

nominoPlural machikichi

  • 1

    tunda la mchikichi; tunda ambalo kokwa zake zinatoa mafuta ya mawese.

Matamshi

chikichi

/t∫ikitʃi/