Ufafanuzi wa chimbo katika Kiswahili

chimbo

nominoPlural machimbo

  • 1

    shimo kubwa ambapo huchimbuliwa udongo, mchanga au madini.

Matamshi

chimbo

/t∫imbɔ/