Ufafanuzi wa chimbua katika Kiswahili

chimbua

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kitu kutoka ardhini.

    fukua

  • 2

    tafuta asili ya kitu au jambo.

Matamshi

chimbua

/t∫imbuwa/