Ufafanuzi wa chinjana katika Kiswahili

chinjana

kitenzi sielekezi

  • 1

    pigana na kusababisha mauaji makubwa.

Matamshi

chinjana

/t∫inʄana/