Ufafanuzi wa chipu katika Kiswahili

chipu

nominoPlural chipu

  • 1

    kadi au kipande bapa kidogo kinachotumiwa kuhifadhia taarifa za kielektroniki na hutumiwa kwenye simu au kompyuta.

Asili

Kng

Matamshi

chipu

/t∫ipu/