Ufafanuzi wa chipubodi katika Kiswahili

chipubodi

nomino

  • 1

    ubao laini wa mstatili uliotengenezwa kwa ungaunga wa mbao ulioganda.

Asili

Kng

Matamshi

chipubodi

/t∫ipubɔdi/