Ufafanuzi wa chiriwa katika Kiswahili

chiriwa

nomino

  • 1

    ugonjwa unaompata mtoto mchanga ambaye hakuwekewa miiko.

Matamshi

chiriwa

/t∫iriwa/