Ufafanuzi wa chirizika katika Kiswahili

chirizika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa mwendo wa polepole kama yatiririkavyo maji au kama nyoka atambaavyo.

Matamshi

chirizika

/t∫irizika/