Ufafanuzi wa chochole katika Kiswahili

chochole

kivumishi

  • 1

    -sio na mali au uwezo wa kumudu maisha.

    ‘Wako watu wengi waishio mjini ambao ni wachochole’

Matamshi

chochole

/t∫ɔt∫ɔlɛ/