Ufafanuzi msingi wa choka katika Kiswahili

: choka1choka2

choka1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  pungukiwa na nguvu mwilini baada ya kushughulika.

  nyong’onyea, nyong’onya

 • 2

  ondokwa na hamu au mapenzi ya kitu au mtu.

 • 3

  kuwa katika hali ya kutofaa; kuwa kuukuu.

Matamshi

choka

/t∫ɔka/

Ufafanuzi msingi wa choka katika Kiswahili

: choka1choka2

choka2

nominoPlural choka

 • 1

  nyoka mwenye mistari.

Matamshi

choka

/t∫ɔka/