Ufafanuzi wa chokochoko katika Kiswahili

chokochoko

nominoPlural chokochoko

  • 1

    chanzo cha ugomvi.

    uchochezi

  • 2

    matatizo.

    ugomvi, shari

Matamshi

chokochoko

/t∫ɔkɔt∫ɔkɔ/