Ufafanuzi msingi wa chokoleti katika Kiswahili

: chokoleti1chokoleti2

chokoleti1 , chakuleti

nominoPlural chokoleti

  • 1

    mchanganyiko wa maziwa, sukari na unga wa kakao, agh. hutengenezwa kwa umbo la biskuti au peremende.

Asili

Kng

Matamshi

chokoleti

/t∫ɔkɔlɛti/

Ufafanuzi msingi wa chokoleti katika Kiswahili

: chokoleti1chokoleti2

chokoleti2

nominoPlural chokoleti

  • 1

    rangi ya kahawia.

Asili

Kng

Matamshi

chokoleti

/tʃɔkɔlɛti/