Ufafanuzi wa chokonoa katika Kiswahili

chokonoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    toa kitu kutoka mahali fulani kwa taabu.

  • 2

    dadisi mtu kwa kumuuliza maswali ili kupata kujua jambo fulani kwa undani.

Matamshi

chokonoa

/t∫ɔkɔnɔa/