Ufafanuzi wa chokoza katika Kiswahili

chokoza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanyia mtu jambo la kumuudhi au kumkasirisha ili atukane au apigane.

    sai, sumbua, charua, chochea, kasirisha, chagiza

Matamshi

chokoza

/t∫ɔkɔza/