Ufafanuzi wa choma katika Kiswahili

choma

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  ingiza kitu chenye ncha ndani ya ngozi au nyama au kitu chochote laini.

  ‘Choma sindano’
  ‘Choma kisu’
  dunga

 • 2

  washa ndani ya mwili.

  cheneta

 • 3

  unguza kwa moto.

  teketeza

Matamshi

choma

/t∫ɔma/