Ufafanuzi msingi wa chomeka katika Kiswahili

: chomeka1chomeka2

chomeka1

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    tia kitu katika kitu kingine.

    ‘Chomeka kisu katika ala’

  • 2

    kita

Matamshi

chomeka

/t∫ɔmɛka/

Ufafanuzi msingi wa chomeka katika Kiswahili

: chomeka1chomeka2

chomeka2

kitenzi sielekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

Matamshi

chomeka

/t∫ɔmɛka/