Ufafanuzi wa chomekea katika Kiswahili

chomekea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~lewa, ~sha, ~za, ~wa

 • 1

  tia kitu kipya mahali pa kibovu, hasa katika kuezeka paa.

 • 2

  tia kalafati.

 • 3

  ingiza kitu ndani ya kingine.

 • 4

  ingiza (gari) katika njia ya mwenzio.

Matamshi

chomekea

/t∫ɔmɛkɛja/