Ufafanuzi wa chomo katika Kiswahili

chomo

nominoPlural machomo

  • 1

    uchafu unaopatikana baada ya madini ya chuma kusafishwa; mavi ya chuma.

Matamshi

chomo

/t∫ɔmɔ/