Ufafanuzi msingi wa chondo katika Kiswahili

: chondo1chondo2chondo3

chondo1

nomino

  • 1

    mnyama wa baharini jamii ya chaza mwenye gamba gumu akaaye katika miamba.

Matamshi

chondo

/t∫ɔndɔ/

Ufafanuzi msingi wa chondo katika Kiswahili

: chondo1chondo2chondo3

chondo2

nomino

  • 1

    kikapu au mfuko mdogo wa kusafiria.

Matamshi

chondo

/t∫ɔndɔ/

Ufafanuzi msingi wa chondo katika Kiswahili

: chondo1chondo2chondo3

chondo3

nomino

  • 1

    ngoma inayopigwa kuashiria kifo au mkutano.

Matamshi

chondo

/t∫ɔndɔ/