Ufafanuzi msingi wa chonge katika Kiswahili

: chonge1chonge2

chonge1

nominoPlural machonge, Plural chonge

  • 1

    jino kali lenye ncha.

  • 2

    mwamba ulio na ncha.

Matamshi

chonge

/t∫ɔngɛ/

Ufafanuzi msingi wa chonge katika Kiswahili

: chonge1chonge2

chonge2

nominoPlural machonge, Plural chonge

  • 1

    ulemavu wa nazi unaosababishwa na maradhi yanayoletwa na wadudu au ndege k.v. chozi na nyomvi.

Matamshi

chonge

/t∫ɔngɛ/