Ufafanuzi wa chongezi katika Kiswahili

chongezi

kivumishi

  • 1

    -a kufitinisha; -a kuchonganisha.

Matamshi

chongezi

/t∫ɔngɛzi/