Ufafanuzi msingi wa chongo katika Kiswahili

: chongo1chongo2chongo3

chongo1

nominoPlural chongo, Plural machongo

 • 1

  mtu kuwa au aliye na jicho moja.

  methali ‘Akipenda, chongo huita kengeza’

Ufafanuzi msingi wa chongo katika Kiswahili

: chongo1chongo2chongo3

chongo2

nominoPlural chongo, Plural machongo

 • 1

  kijongo au nundu kwenye mgongo.

Ufafanuzi msingi wa chongo katika Kiswahili

: chongo1chongo2chongo3

chongo3

nominoPlural chongo, Plural machongo

 • 1

  ndege jamii ya mnana au kitongo.

Matamshi

chongo

/t∫ɔngɔ/