Ufafanuzi msingi wa chonyota katika Kiswahili

: chonyota1chonyota2

chonyota1

kitenzi elekezi

 • 1

 • 2

  washawasha kama kidonda kinapotiwa dawa.

  nyonyota, nyunya, cheneta, chochota

Matamshi

chonyota

/t∫ɔɲɔta/

Ufafanuzi msingi wa chonyota katika Kiswahili

: chonyota1chonyota2

chonyota2

kitenzi sielekezi

 • 1

  mwagika kidogokidogo kutoka juu.

  ‘Mvua inachonyota’
  nyonyota

Matamshi

chonyota

/t∫ɔɲɔta/