Ufafanuzi wa chonza katika Kiswahili

chonza

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwapo utulivu au amani.

    msukosuko, fitina