Ufafanuzi msingi wa chopa katika Kiswahili

: chopa1chopa2

chopa1

kitenzi elekezi

 • 1

  teka kidogo kwa kiganja cha mkono au chombo.

  chota

 • 2

  chuuza vitu.

Matamshi

chopa

/t∫ɔpa/

Ufafanuzi msingi wa chopa katika Kiswahili

: chopa1chopa2

chopa2 , topa

nomino

 • 1

  mzigo au fungu la vitu.

  ‘Chopa la kuni’
  ‘Chopa la udongo’

Matamshi

chopa

/t∫ɔpa/