Ufafanuzi wa chopeka katika Kiswahili

chopeka

kitenzi elekezi

  • 1

    pika ovyoovyo bila ya uangalifu.

  • 2

    tumbukiza kitu majini na kuroweka.

  • 3

    chemsha k.v. viazi au ndizi mbichi kabla ya kutia viungo.

Matamshi

chopeka

/t∫ɔpɛka/