Ufafanuzi wa chopi katika Kiswahili

chopi

kielezi

  • 1

    kwa kuchechemea kama kilema.

  • 2

    ‘Amelewa chopi’
    chakari

Asili

Khi

Matamshi

chopi

/t∫ɔpi/