Ufafanuzi wa chopsi katika Kiswahili

chopsi

nominoPlural chopsi

  • 1

    kipande kinene cha silesi ya nyama hasa ya kondoo au nguruwe kilichoshikana na ubavu.

  • 2

    yai lililochemshwa na kumenywa kisha kuzungushiwa unga wa ngano au chembelele na kukaangwa kwa mafuta.

Asili

Kar

Matamshi

chopsi

/t∫ɔpsi/