Ufafanuzi wa chosha katika Kiswahili

chosha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~wa

  • 1

    fanya mtu achoke au aishiwe nguvu.

  • 2

    fanya mtu asiwe na uvumilivu kwa tabia fulani anayofanyiwa.

Matamshi

chosha

/t∫ɔ∫a/