Ufafanuzi wa chota katika Kiswahili

chota

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    chukua sehemu ya kitu hasa cha majimaji au punjepunje kutoka katika chombo.

    ‘Chota maji’
    ‘Chota sukari’
    teka, chopa

Matamshi

chota

/t∫ɔta/