Ufafanuzi msingi wa chotara katika Kiswahili

: chotara1chotara2

chotara1

nominoPlural machotara, Plural chotara

  • 1

    mtu aliyezaliwa na wazazi wa rangi mbalimbali.

    suriama, hafukasti, shombe

Asili

Khi

Matamshi

chotara

/t∫ɔtara/

Ufafanuzi msingi wa chotara katika Kiswahili

: chotara1chotara2

chotara2

nominoPlural machotara, Plural chotara

  • 1

    mbegu zinazotokana na mchanganyiko wa aina mbili za mbegu.

Matamshi

chotara

/t∫ɔtara/