Ufafanuzi wa chotora katika Kiswahili

chotora

kitenzi sielekezi

  • 1

    kutofaa kutumika kwa kitu k.v. dawa, maji, nk.

  • 2

    kutokana na muda wake wa matumizi kuisha.

Matamshi

chotora

/t∫ɔtɔra/