Ufafanuzi wa chubwi! katika Kiswahili

chubwi!, tubwi!

kiingizi

  • 1

    mlio wa kutumbukia kitu kwenye maji.

Matamshi

chubwi!

/t∫ubwi/