Ufafanuzi msingi wa chuchu katika Kiswahili

: chuchu1chuchu2

chuchu1

nominoPlural chuchu

  • 1

    ncha ya ziwa la binadamu au mnyama.

    nyato, kilembwe

Matamshi

chuchu

/t∫ut∫u/

Ufafanuzi msingi wa chuchu katika Kiswahili

: chuchu1chuchu2

chuchu2

nominoPlural chuchu

  • 1

    mtu mwoga.

    jike

Matamshi

chuchu

/t∫ut∫u/