Ufafanuzi wa chuchuka katika Kiswahili

chuchuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    ongezeka kimo na kuwa mrefu.

Matamshi

chuchuka

/t∫ut∫uka/