Ufafanuzi wa chuchumaa katika Kiswahili

chuchumaa, chutama

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    kaa bila ya matako kugusa chini.

    otama, totama

Matamshi

chuchumaa

/t∫ut∫uma:/