Ufafanuzi wa chuchumia katika Kiswahili

chuchumia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~za

  • 1

    simama kwa ncha za vidole vya miguu.

Matamshi

chuchumia

/t∫ut∫umija/