Ufafanuzi wa chuki katika Kiswahili

chuki

nominoPlural chuki

 • 1

  tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya.

  kinyongo, fundo

 • 2

  maneno ya kugombanisha watu.

  fitina, futa

 • 3

  hali ya kukasirika.

  ‘Ana chuki’

Matamshi

chuki

/t∫uki/