Ufafanuzi wa chukiza katika Kiswahili

chukiza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo la kuudhi.

    chusha, kasirisha, ifya, kirihi

Matamshi

chukiza

/tâˆĞukiza/