Ufafanuzi wa chuku katika Kiswahili

chuku

nominoPlural chuku

  • 1

    pembe ya kuumikia.

    ‘Piga chuku’

  • 2

    maneno yasiyo ya kweli.

    udanganyifu, upatiara, ulaghai

Matamshi

chuku

/t∫uku/