Ufafanuzi wa chukuchuku katika Kiswahili

chukuchuku

nomino

  • 1

    hali ya kitoweo kilichoandaliwa harakaharaka bila viungo.

    ‘Nimekula wali kwa chukuchuku ya papa’
    ‘Nimekula ugali kwa chukuchuku ya dagaa’

Matamshi

chukuchuku

/t∫ukut∫uku/