Ufafanuzi msingi wa chukulia katika Kiswahili

: chukulia1chukulia2

chukulia1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa, ~sha

 • 1

  kuwa na uvumilivu.

  ‘Mchukulie, hiyo ndiyo tabia yake mvumilie’

 • 2

  amini kuwa ni kweli; tia akilini.

  hesabu

Matamshi

chukulia

/t∫ukulija/

Ufafanuzi msingi wa chukulia katika Kiswahili

: chukulia1chukulia2

chukulia2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa, ~sha

 • 1

  bebea mtu kitu.

  ‘Tafadhali nichukulie mzigo wangu’

 • 2

  ‘Baada ya kuona kimya nimechukulia kuwa huna shida tena’
  fikiria

Matamshi

chukulia

/t∫ukulija/