Ufafanuzi wa chumba katika Kiswahili

chumba

nominoPlural vyumba

 • 1

  sehemu iliyogawanywa ndani ya nyumba.

  ‘Chumba cha kulala’
  ‘Chumba cha kulia’

 • 2

  fremu ya randa.

 • 3

  tundu la kuchomekea randa.

Matamshi

chumba

/t∫umba/